dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 18, 2017

Breaking News: Tundu Lissu ashinda Urais wa TLS kwa KISHINDO KIKUBWA SANA!!!

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.

Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho.

Matokeo ni kama ifuatavyo:

Urais: Kura zilizopigwa 1682
  1.  Tundu Lissu 1411  sawa na asilimia 88


      2  Francis Stolla 64

      3. Victoria Mandari 176

     4.   Godwin Mwapongo 64

==>Kwa upande wa nafasi ya Makamu wa Rais (TLS) mshindi ni Godwin Ngwilimi aliyekuwa Mwanasheria wa Tanesco na kutimuliwa kwa kupinga Escrow.

Council Members

    1. Jeremiah Motebesya

    2.Gida Lambaji

    3.Hussein Mtembwa

    4. Aisha Sinda

    5. Steven Axweso

    6. David Shilatu

    7.Daniel Bushele

1 comment :

  1. KIDOGO KIDOGO NCHI YETU YAREJEA MIKONONI MWETU WALALAHOI!

    ReplyDelete