dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 11, 2017

TANESCO'S ULTIMATUM TO CUT POWER TO ZANZIBAR HAS NOW BECOME LUDICROUS IN THE ISLES!

Image result for POWER LINES

Jee ni KA-TA kiuno au umeme

Written by   //  10/03/2017  
KA-TA mwanangu kata, kata chako mwenyewe.
KA-TA usiogope, hutaki usinunuwe
Anasema ni maneno mawili tu KA na TA ndio yanayofanya neno moja KATA.
Wataalamu wa lugha wanaweza kutusaidia neno KATA maana na linavyotukika. Licha ya kuwa wasanii wengi wamelitumia neno KATA kusherehesha mchezo wao.
Anaposema Kata jee anamaanisha nini?
Kukata kiuno kunahitaji shoka au panga. Na siku hizi zaidi kumeingia misumeno ya kukatia.
Ikiwa ni kukata umeme ni kubonyeza button,🔲hapo umeme wote utazimika.
Sasa kipi kinawezekana?
Ingawa wenyewe hawapendi na wanaona tunafanya ishtizai, lakini ndio ukweli kuwa munachoweza ni kukata kiuno na sio umeme.
Tutawachukuwa, tutawaimbia na yutawapigia huku tukiona hivo munavyokata.



No comments :

Post a Comment