dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, April 24, 2017

Wanafunzi 20 wafariki katika ajali Afrika Kusini !


Wanafunzi 20 wafariki katika ajali  iliotokea mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.

Wanafunzi wenye umri kati ya miaka mitano na 10 wameripotiwa kufarika katika ajali iliotokea kaskazini mwa jiji ka Pretoria nchini Afrika Kusini Ijumaa.

Ajali hiyo imefahamishwa kutokea baada ya lori moja kupoteza muelekeo na kugonga basi lililokuwa na wanafunzi kaskazini mwa Pretoria.

Basi hilo la wanafunzi lilishika moto wakati wa tukio hilo.

Waziri wa uchukuzi wa Afrika Kusini Joe Maswanganyi ametuma salamu za rambirambi kwa wazazi wa watoto waliofariki katika ajali hiyo.

No comments :

Post a Comment