Mnadhimu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akizungumza na Muungwana Tv amesema kuwa Sakata la Mchanga wa Dhahabu lina tokana na ubovu wa sheria zetu pamoja na kubanwa na mikataba ya kimataifa.
Lissu ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria TLS amesema kuwa hali hii ya kuibiwa madini yetu itaendelea nchini.......
No comments :
Post a Comment