Taasisi ya Asw haabul Kahfi Islamic Center ya Yombo vituka Temeke Dsm inawaalika waislaam wote kuhudhuria katika Mashindano Makubwa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'an Tukufu yatakayofanyika tarehe 04/06/2017 siku ya jumapili kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana katika Viwanja vya Masjid Islamic Yombo vituka(Malawi)
Masheikh na viongozi mbalimbali watahudhuria
Tukio hili sio la kukosa , Mtaalifu muislaam mwenzako popote alipo
Kwa mawasiliano zaid piga 0766666655 au 0655569510 au 0713216302
No comments :
Post a Comment