dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 22, 2017

Uzinduzi wa uwekaji lami bara bara ya Kilo mita 35 ya Ole - Kengeja!

Gari ya Wizara ya miundombinu, Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, ikimwaga Lami ya kwanza (Primo) kwa ajili ya uzinduzi wa uwekaji lami bara bara ya Kilo mita 35 ya Ole Kengeja huko katika eneo la OleKianga.
Ofisa mdhamini Wizara ya Miundombinu, Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Hamad Ahmed Baucha , akiangalia gari hilo linavyomwaga Lami hiyo huko katika bara bara ya Ole -Kengeja Pemba.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Miundombinu , Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, Hamad Ahmed Baucha, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya uzinduzi wa uwekaji wa Lami katika bara bara ya Ole -Kengeja , baada ya kufanya uzinduzi huo kwa kuweka Lami ya mwanzo ( Prima)
Wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu , Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, wakifanya usafi katika bara bara ya Ole -Kengeja , kabla ya kufanyika uzinduzi wa kuweka Lami ya Prima, katika Bara bara hiyo huko katika eneo la Ole- Kianga.

Akinamama wa Shehia ya ya Ole na Uwandani Pemba, wakisafisha bara bara ya Ole - Kengeja , baada ya kupatiwa ajira za muda kabla ya kuwekewa Lami ya PRIMA

PICHA  NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments :

Post a Comment