dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 11, 2018

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa Fumba leo!


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Viongozi wa Serikali wakisubiri kumpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kisasa Nyamanzi Wilaya ya Magharibi A Unguja. Fumba Town Development. 










/ZanziNews 

No comments :

Post a Comment