Top Leaderboard Advert

Zacadia Patreon

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Zanzibar Diaspora

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, June 6, 2018

Mafuriko ya maafa yaitesa Ufaransa!


Mtu mmoja amepoteza maisha kufautia mafuriko yaliosababishwa na mvua zilizonyesha nchini Ufaransa.
Mvua hizo  zimenyesha katika enep la Kaskazini-Magharibi.

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 37 amezama akiwa ndani ya gari lake. Kitengo cha utabiri  waa hali ya hewa  kimetoa tahadhari kuwa mvua zinaweza kunyesha katika maeneo 16 Kaskazini-Magharibi mwa Ufaransa.

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha  maeneo mengi nchini Ufaransa  yamejipata katika mafuriko.
Morlaix na maeneo mengine yamekubwa na mafuriko.

No comments :

Post a Comment