dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 19, 2018

Lowassa, Zitto Kabwe Wakutana Faragha!

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wamekutaka na kufanya mazungumzo leo Alhamisi Julai 19, 2018.

Taarifa iliyotolewa leo na msaidizi wa waziri mkuu huyo, Aboubakary Liongo imesema katika mazungumzo hayo yaliyofanyika ofisini kwa Lowassa, viongozi hao walijadiliana juu ya mwenendo wa hali ya siasa Tanzania na mchango wa vyama vya siasa kwenye maendeleo ya nchi.

Taarifa hiyo iliyoambatana na picha zinazowaonyesha wawili hao wakijadiliana masuala mbalimbali, haikueleza kiundani walichozungumza.

No comments :

Post a Comment