dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, July 20, 2018

TUJIKUMBUSHE NA HISTORIA YA ZANZIBAR!

Sultan wa mwisho wa Zanzibar aliepinduliwa, Sayyid Jamshid bin Abdallah bin Khalifa, akisalimiana na Mkuu wa Upinzani katika Baraza la Taifa (Bunge) la Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Afro Shirazi Party (ASP), Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alikuwa ni mmoja wa viongozi waliokwenda bandarini Unguja kumlaki Sultan huyo akitokea kisiwani Pemba alikofanya ziara mwezi Desemba 1963 ikiwa ni mwendelezo wa Sherehe za Uhuru wa Zanzibar. Ziara hio ilikuwa ni ya mwisho, kwani mwezi mmoja baadae Sultani alipinduliwa.


No comments :

Post a Comment