dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 22, 2018

TLS yatakiwa kusaidia wananchi na sio kujigeuza wanaharakati wa kisiasa!

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bwana Amon Mpanju amekitaka Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kuwahudumia wananachi kulingana na miiko, kanuni ya taaluma yake badala ya kujigeuza wanaharakati wa siasa.

Akizungumza na wakufunzi wa mafunzo ya wasaidizi wa sheria nchini amesema taaluma ya sheria ipo kwa ajili ya kujenga nchi na siyo kujikita kwenye uwanaharakati na malumbano ya kisiasa na serikali.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanasheria Kaleb Gamaya amesema chama hicho kimesaidia kutatua matatizo ya wananchi na wakati mwingine bila hata kufika mahakamani.

2 comments :

  1. Kolkata escorts shrewd information you've incorporated the article is an unbelievable learning for me. I've inside and out experienced it and took in a ton. I've bookmarked your webpage in my web program with the objective that I can take a gander at it on various events.

    Kolkata Escorts
    Escorts in Kolkata
    Kolkata independent escorts
    Independent Kolkata escorts

    ReplyDelete
  2. Kolkata escorts Thank for sharing such supportive purposes of intrigue and I am so grateful to you. I've taken in an impressive measure from this blog. I have encountered it by investigating the unpretentious components totally. I am purchasing in your blog for the future updates.
    kolkata Escorts
    Kolkata call girls
    Escorts in kolkata
    Call girls in Kolkata
    Kolkata escorts services
    Escorts services in Kolkata
    Kolkata independent escorts
    Independent Kolkata escorts
    Kolkata escorts photos
    Kolkata Call Girls photos
    Kolkata escorts services
    Kolkata call girls services

    ReplyDelete