dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, September 22, 2018

Updates ; WALIOFARIKI AJALI YA KIVUKO SASA NI 218... 47 WATAZIKWA KESHO...ANGALIA MAANDALIZI HAPA!


  • Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere imefikia 218.
Akizungumza na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Jumamosi Septemba 22, 2018 saa 2 usiku huu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amesema kwa sasa taratibu mbalimbali zinafanyika ikiwa ni pamoja na jitihada za kukinyanyua kivuko hicho kazi ambayo itafanywa na timu ya waokoaji.

“Kesho kuanzia saa 2 asubuhi kamati itafanya maziko ya miili 47”, amesema Mongella.


ANGALIA PICHA ZA MAANDALIZI YA MAZISHI HAPA CHINI

No comments :

Post a Comment