dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 12, 2018

Wawili mbaroni mwa Polisi kwa kukutwa na kichwa cha Binadamu!


Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili akiwamo mwenye umri wa miaka 65 kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha binadamu nyumbani kwake.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Daniel Shilla akizungumza mjini Chato, alisema waliokamatwa ni mkazi wa kijiji cha Ibondo B na mkazi wa Mwabasabhi wilayani Chato.

Alisema tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2018 ambapo watuhumiwa hao walikua wamekificha kichwa hicho uvunguni mwa kitanda nyumbani kwa mmoja wao na jeshili na Polisi linaendelea na uchunguzi.

No comments :

Post a Comment