Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Ukilinganisha Zanzibar na Eritrea,of course Eritrea wanauchumi mkubwa, lakini sio kuwa na uchumi mkubwa ndiko kunako-matter. What matters ni kama mnavichwa vizuri.
ReplyDeleteHio ndege mlioiweka hapo juu is the only plane ambayo Eritrea wanayo na hiyo pia ni leased plane. Inapeperusha bendera yao na kuitangaza nchi yao bila ya mtu kujua kama hio ndio hio hio ndege pekee.
Zanzibar isingelishindwa kukodi ndege moja au mbili za kuanzia na tukaitangaza nchi yetu. Waingereza wanasema...."Much can be done with limited resources, but with unlimited imaginations". Hizo imaginations na innovations za kibiashara sisi Wazanzibari ndio hatunazo kabisa. Biashara zetu zinaishia Darajani tu. Zaidi, sisi yetu ni kubwabwaja na itachukuwa 100 years kabla hatujaiona hio ZANZIBAR AIRLINES, labda ghafla Bakhresa atuvute kwenye ubia.