dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 12, 2018

Makampuni 13 Yajitokeza Kununua Korosho!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwamba kuna makampuni 13 yamejitokeza kutaka kununua korosho kwa bei elekezi ya serikali.

Majaliwa ametoa kauli hii leo Jumatatu November 12 wakati wa zoeazi la kuwaapisha mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Magufuli.

Amesema, makampuni matano yalipeleka barua ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam huku makampuni 8 yakipeleka Dodoma.

Waziri Mkuu ameyataja makampuni hayo kuwa  ni Mega movers  ambayo inataka tani laki 2, kampuni ya Kitanzania Mkeme Agri inataka tani elfu 5, na makampuni matatu yatachukua tani elfu 5, makampuni manne, tani elfu moja moja.

No comments :

Post a Comment