Askari wa usalama barabafani mkoani kigoma aliejulikana kwa jina moja tu 'Denis' ameonekana akipokea rushwa kutoka kwa dereva na kumuacha aende zake. Ikumbukwe wakati waziri wa mambo ya ndani aje mkoani kigoma huyu ndie askari alielalamikiwa sana na madereva mkoani humo.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment