Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Monday, March 25, 2019
Mawaziri wapanga kumuondoa Waziri Mkuu Theresa May!
Vyombo vya habari nchini Uingereza vinaripoti kuwa baraza la Theresa May linakataa kuunga mkono uongozi wake na linamtaka aachie madaraka, Kiongozi wa muda atateuliwa kusimamia majadiliano ya Brexit.
Vyombo hivyo Jumamosi usiku vimeripoti kwamba waziri mkuu Theresa May alikuwa anakabiliwa na uasi ndani ya baraza lake la mawaziri na huenda akajiuzulu mara moja, hatua hiyo inakuja siku chache kabla ya kura ya tatu kuhusu makubaliano ya May juu ya Brexit yaliokatiliwa mara mbili.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment