Katika kukutana nao atawapongeza na kula nao chakula cha mchana.
"Mhe. Rais Magufuli leo Machi 25, 2019 atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, Viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na Bondia Hassan Mwakinyo Ikulu DSM. Atawapongeza na kula nao chakula cha mchana. Tukio litarushwa Live! na Redio, Televisheni na Mitandao kuanzia saa 4:00 asubuhi," ameandika Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa kwenye ukurasa wake wa Twitter.
No comments :
Post a Comment