zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, February 28, 2021

KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 28 FEBRUARY, 2021!


MAAJABU YA MAJANI YA MPERA!


 


MFUNGWA Asimulia ALIVYOMUUA MCHEPUKO wa MCHUMBA WAKE, UKWELI kuhusu WAFU...!


MFUMO WA KUSEMA NA "DKT MWINYI" MOJA KWA MOJA UMEZINDULIWA!


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 28.02.2021!


DUA YA ASUBUHI NA WAKATI MWENGINE WOWOTE ULE!


 


Saturday, February 27, 2021

BALOZI BASHIRU AZUNGUMZA MBELE YA RAIS IKULU BAADA YA KULA KIAPO!


PROTECT YOURSELF FROM THE NEXT PANDEMIC!

 



BASHIRU AAPISHWA KUWA BALOZI NA KATIBU MKUU!

 

LAUGH LINES ARE WORTH IT!!!....BALOZI BASHIRU!

 


#LIVE DUA YA MAALIM SEIF YAIBUA MAPYA / ZITTO KABWE AANIKA HADHARANI!


TUSISAHAU: ZANZIBAR YAZIZIMA KUTOKANA NA KIFO CHA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, WANANCH...!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 27 FEBRUARY, 2021!


KIKAO CHA ACT WAZALENDO KUMTEUA MRITHI WA MAALIM SEIF ZANZIBAR.ZI...!


A BANANA A DAY KEEPS THE CORONA VIRUS AWAY!


 


RAIS MAGUFULI ATIBUKA, AIAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCH...!


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 27.02.2021!


What Goes Around Comes Around - Majed Mahmoud!


MORNING DUA - LISTEN THIS EVERY MORNING!


Friday, February 26, 2021

RAIS WA ZANZIBAR AKUBALI KUWA MLEZI WA MSIKITI RAWDHA WA DARAJABOVU!


Taarifa ya Habari Saa Tano Usiku, Februari 26, 2021!


#VOA​​​​​​​​ DUNIANI LEO FEB 26, 2021


TAARIFA YA HABARI ZBC _ (IJUMAA _ 26 / 02 / 2021)


BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 26.02.2021


MANISPAA YA TEMEKE YAJICHONGEA WENYEWE KWA RAIS MAGUFULI. TAKUKURU KUWACHUNGUZA!



BASHIRU ACHUKUWA NAFASI YA KIJAZI!

  •  PIA ACHAGILWA KUWA BALOZI!





DUA MAALUMU YA KUMUOMBEA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD (RAHIMAHULLAH)!


 


GOOD NEWS TO ONTARIONS OF CANADA!

  • Ontario Invests in Historic Campaign to Accelerate Training for Personal Support Workers!
  • Up to 8,200 New PSWs Will Be Ready to Work in Long-Term Care by Fall 2021
TORONTO — The Ontario government is investing over $115 million to train up to 8,200 new personal support workers (PSWs) for high-demand jobs in Ontario's health and long-term care sectors. In collaboration with Colleges Ontario, all 24 publicly assisted colleges will offer this innovative, fully funded program starting in April 2021. This is part of the government's Long-Term Care Staffing Plan, one of the largest PSW recruitment and training drives in the province's history.

Details were provided today by Premier Doug Ford, Dr. Merrilee Fullerton, Minister of Long-Term Care, and Ross Romano, Minister of Colleges and Universities.

LAUGH LINES ARE WORTH IT!.....u must listen to this interview!!!!


 


PALE SIKU YAKO INAPOKUWA BADO HAIJAFIKA!


 


ALLAHU ABKBAR - HUYU NDIO MAMA, BABA KAKIMBIA!

NANI KAMA MAMA???

 


MAALIM SEIF KNEW OF HIS IMPENDIND DEATH - SAYS A SCHOLAR!


 


KUWA MUANGALIFU UNAPOVUKA BARABARA!


 


MAALIM HAKURUHUSIWA KUSIMAMA JUKWAANI/ ALIKUWA NA MSIMAMO/ CCM WAMEPIGIK...


JILINDE NA CORONAVIRUS KWA KUTUMIA BARAKOA ZA MUHIMBILI!


NO CORONAVIRUS IN YEMEN - SO THEY SAY!


 


Msalimieni Kipenzi!


SCHOLARSHIPS!



AMAZING! Message from African DIASPORA to President Magufuli, "NO RETREA...!


Alligator Snapping Turtle vs Common Snapping Turtle!


EXCLUSIVE: MAAJABU YA MTOTO GENIUS WA HESABU, "SIJAFUNDISHWA, WAKUBWA H...!


Racist human experiments fuel vaccine skepticism!


LAUGH LINES ARE WORTH IT!.....MONKEY-COCK WRESTLING!

USICHEZE NA JOGOO!

 


DK. HUSSEIN MWINYI AKIZUNGUMZA NA MADAKTARI BINGWA MFUMO WA UBONGO...


United Airlines engine failure: FAA orders airlines to perform thermal imaging on fan blades!

The Federal Aviation Administration issued an Emergency Airworthiness Directive Tuesday night, ordering U.S. airlines to inspect any aircraft with certain Pratt & Whitney PW4000 engines. United Airlines is the only commercial carrier still using that engine, which is mated to Boeing 777s.

In a press release accompanying the directive, the agency said, "The FAA is taking this action as the result of a fan-blade failure that occurred Saturday on a Boeing 777-200 that had just departed from Denver International Airport," the agency said in a release accompanying the emergency airworthiness directive. "Although the aircraft landed safely, the failure resulted in damage to the engine, an in-flight engine fire, and damage to the airplane."

China denies requiring U.S. diplomats to take anal swab tests!

Chinese Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian attends a news conference in Beijing, China September 10, 2020. 

BEIJING (Reuters) -
China’s foreign ministry denied on Thursday that U.S. diplomats in the country had been required to take anal swab tests for COVID-19, following media reports that some had complained about the procedure.

U.S. media outlet Vice on Wednesday cited a State Department official as saying the test was given in error and that China had said it would stop such tests on U.S. diplomats.

UHURU KENYATTA ON A MORNING WALK!


Man With Cane Trips Robber Fleeing Cops!


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 26.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 26 FEBRUARY, 2021!


ONE SIN THAT WILL NOT GO-BYE WITHOUT PUNISHMENT!


 


NINI LAKUFANYA SIKU YA IJUMAA!


 


Thursday, February 25, 2021

BARAZA LA WAWAKILISHI _ 25/02/2021!


Taarifa ya Habari, Saa Tano Usiku, Februari 25, 2021!


#VOA​​​​​​​ DUNIANI LEO FEB 25, 2021!


TAARIFA YA HABARI ZBC _ (ALHAMIS _ 25 / 02 / 2021)


DIRA YA DUNIA ALHAMISI 25.02.2021!


RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MSIBA WA MAALIM S...


TUJIKUMBUSHE: MAALIM SEIF AFAFANUA......."NANI NI MTU MZURI NA MWEMA"!


 


JE!! UNAYAFAMU MAISHA YA AL-MARUHUMU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD!


KINACHO ENDELEA KUFANYWA KILA KONA YA ZNZ KWAAJILI YA "MAALIM SEIF -"TUN...!


ND: AWADHI ALI MWANASHERIA MBOBEZI AKIMCHAMBUA AL-MARHUM MAALIM S...!


tujikumbushe: TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAHADHARI JUU YA KINGA YA UGONJWA WA SHIDA YA KUPUMUA NA MARADHI MENGINE YA KUAMBUKIZA!


MAALIM SEIF: JABALI la SIASA ALIYETEMWA CCM, Akafungwa MIAKA 3, AMEPIGAN...!


#LIVE TUNDU LISSU ANAONGEA KWA UCHUNGU AKIWA UBELGIJI BAADA YA KIFO CHA ...


NZIGE NI BALAA!


DR. NATHALIA ON MAALIM SEIF!


 


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 25.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 25 FEBRUARY, 2021!


MAALIM SEIF ALILETWA KWETU!


Dr. Hassan Omar Ali akihitimisha Dua ya kumuombea rehma na maghfirah Maalim Seif Sharif Hamad. ZADIA- 2021!

 

MORNING DUA - LISTEN THIS EVERY MORNING!


Wednesday, February 24, 2021

Taarifa ya Habari, Saa Tano Usiku, Februari 24, 2021!


#VOA​​​​​​ DUNIANI LEO FEB 24, 2021!


TAARIFA YA HABARI ZBC _ ( JUMATANO _ 24 / 02 / 2021 )


BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 24.02.2021


XCLUSIVE ON MAALIM SEIF!


 


VIPI MAALI SEIF ANATAKA AKUMBUKWE!


 


KIBACHA CHA GAHAWA CHAMKUMBUKA MAALIM SEIF!


 


TUJIKUMBUSHE: Video hii itakutoa Machozi ; Haya ndio yalikua maneno ya Mwisho ya Maali...!


UJUMBE MZITO KUHUSU “MAALIM SEIF” WATOLEWA DKT MWINYI AMEUMIA SANA / TUM...!


Condemnation as coughing Tanzanian minister Philip Mpango gives news conference!

  • Video of Finance Minister Philip Mpango, maskless and in a coughing fit, has been widely condemned!

 
  • Tanzania stopped releasing figures on COVID-19 in April 2020 
Days after President John Mafuguli finally admitted Tanzania has a coronavirus problem, after months of apparent denial and increasing warnings of a resurgence in infections, the sight of the country’s finance minister coughing and gasping during a news conference to defend the state of his health has left many in shock.

Finance Minister Philip Mpango, who did not reveal what he was suffering from, spoke to about 10 reporters on Tuesday at a hospital in the capital, Dodoma, after rumours that he had died of COVID-19. A recent spate of deaths attributed to “pneumonia” and “respiratory challenges” has struck both government officials and members of the public.

Lugha ya kiarabu!


TUJIKUMBUSHE: 2015 - VIROJA BUNGENI MIAKA 6 NYUMA!


ALJAZEERA: A DISCUSSION OF COVID-19 IN TANZANIA BY ANSBERT NGURUMO AND DR. FRANK MINJA!


Supplication invigorates the spirit of hope

Supplication invigorates the spirit of hope
By Hasan Kamoonpuri 
— Dua (supplication), a kind of quest for the ability to acquire a greater share of the infinite grace and blessings of Allah, holds out innumerable psychological, social, educative and spiritual benefits.
All of us, in order to strengthen our determination, and eliminate the distresses we face, often need a support from a superior source, and it is the dua that lights up the lamp of hope within us.
Obviously, Allah, the Creator of this endless Universe, is our best protector and the source of all goodness, perfection, independence and bestowal.
We always need the help of the Almighty Creator, who is the source of infinite mercy and love. One of the best favours the Almighty has bestowed on human beings is that we have been allowed to supplicate to Allah, and the Almighty has promised to answer our petitions.
In the Glorious Quran, Allah the Exalted, says, “I answer the supplicant when he calls upon Me”. (2:186)
According to a Hadith, “There is nothing dearer to Allah than a servant making Dua to Him.”
The Prophet of Islam (Peace Be Upon Him) says: “Dua is the weapon of the believer, the pillar of faith, and the light of the heavens and the earth”.
The Prophet also says, “Know that He who owns the treasures of the skies and the earth has permitted you to pray to Him, and has promised you acceptance of the prayer. He has commanded you to beg of Him in order that He may give you and to seek His mercy in order that He may have mercy on you”.


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 24.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 24 FEBRUARY, 2021!


MAALIM SEIF: 1943 - 2021!


 /Hassan Khamis (UK)


Tuesday, February 23, 2021

Taarifa ya Habari, Saa Tano Usiku, Februari 23, 2021!


#VOA​​​​​ DUNIANI LEO FEB 23, 2021!


TAARIFA YA HABARI ZBC _ (JUMANNE _ 23 / 02 / 2021)!


BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 23.02.2021!


DKT MPANGO ASEMA MUNGU KAMTENDEA MAKUBWA NA ANAMSHUKRU!


MAALIM SEIF'S ROLE MODEL!


 


TUJIKUMBUSHE: MAALIM SEIF AKIHOJIWA NA JENERALI ULIMWENGU!


 


MAALIM SEIF AMONG THE PROLETARIAT!


TUJIKUMBUSHE: Maalim Seif awataka Wizara ya Elimu Zanzibar kutathmini tatizo la kufeli...!


MTOTO MWENYE KIPAJI CHA JUU SANA!


MJADALA JUU YA MAISHA YA MAALIM SEIF - 4!


 


MJADALA JUU YA MAISHA YA MAALIM SEIF - 3!


 


MJADALA JUU YA MAISHA YA MAALIM SEIF - 2!


 


MJADALA JUU YA MAISHA YA MAALIM SEIF - 1!


 


HIVI NDIVYO NILIVYOANZA KUMFAHAMU MAALIM SEIF – ISMAIL JUSSA!


Kwa hakika ni vigumu sana kujaribu kufupisha maisha ya Maalim Seif katika dakika chache, lakini kwa vile umeniuliza jinsi nilivyomfahamu na siasa zake, mimi nilimfahamu Maalim Seif wakati alipokuwa kiongozi.

Wakati huo mimi ni mwanafunzi, na kwa mtu yeyote kama mimi ambaye tangu nina umri mdogo nilikuwa napenda siasa tulikuwa tunafahamu ndani ya chama kimoja wakati huo Chama Cha Mapinduzi wakati ule, Zanzibar kulikuwa na makundi mawili ya kisiasa, na Maalim Seif alikumbukwa sana mwaka 1984 alipokuwa waziri kiongozi wakati wa Ali Hassan Mwinyi aliposhika nafasi ile, watu wengi watakumbuka kuwa licha ya yeye kuwa waziri kiongozi yeye alitajwa zaidi katika siasa za wakati ule na alinasibishwa zaidi na mafanikio ya serikali ya awamu ya tatu kuliko hata aliyekuwa Raisi kwasababu ya uwezo na kipaji chake.

SIMANZI ZA WAZANZIBARI WAKIELEZEA MASIKITIKO YAO KWA KUONDOKEWA NA MAALI...!


@RVS Online Tv BAADHI YA WANANCHI PEMBA WAKIONGEA MAZITO KUHUSU KIFO CHA...!


Ulinganiaji sahihi -(5)- SEBLE YA ELIMU!


MSIMAMIZI WA MSIKITI WA MUEMBE TANGA ATHIBITISHA KUWA AL- MARHUM MAALIM ...!


TUJIKUMBUSHE: MAALIM SEIF AKINGURUMA PEMBA “SASA TUWE KAMA MCHWA TUTAFUNE CHINI KWA CH...


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 23.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 23 FEBRUARY, 2021!


DUA YA ASUBUHI NA WAKATI MWENGINE WOWOTE ULE!


 


Monday, February 22, 2021

COVID-19: TANZANIA - Jumuiya ya kimataifa yastushwa na vifo Tanzania!


Taarifa ya Habari, Saa Tano Usiku, Februari 22, 2021!


#VOA​​​​ DUNIANI LEO FEB 22, 2021!


TAARIFA YA HABARI ZBC _ ( JUMATATU _ 22 / 02 / 2021 )


BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 22.02.2021


Tanzania government in new strategy to contain Covid-19!

President John Magufuli speaking during a sunday mass at Saint Peters Catholic church in Dar es Salaam yesterday. 
  • President John Magufuli told worshippers at St Peter’s Parish in Dar es Salaam that Tanzanians should continue taking precautions against the new coronavirus as advised by health experts. He also stated that no one was prohibited from wearing face masks.
Dar es Salaam.
The government has come up with a new set of measures in a deliberate move to contain further spread of Covid-19 amid claims of a worrying rise in deaths that are attributable to the viral pandemic.
 
Contrary to a widely-held government position that Tanzania was Covid-19 free, the government now wants Tanzanians to undertake eight specific measures in a deliberate move to win the war against the Covid-19 pandemic. Apart from the three-day period of prayers - which ended yesterday - a statement from the Health ministry noted that Tanzanians must also subscribe to hygienic requirements as advanced by health experts.

WHO chief calls on Tanzania to combat Covid!

World Health Organization Director-General Tedros Adhanom Ghebreyesus addresses a press conference in Geneva. 
  • WHO director general Tedros Adhanom Ghebreyesus said a number of Tanzanians travelling to neighbouring countries and beyond have tested positive for the coronavirus.
The
head of the World Health Organization has on Sunday appealed to Tanzania to take "robust action" to combat Covid-19 in the country.

Though there is no official data a recent spate of deaths attributed to pneumonia has struck a number of Tanzanians in the past few weeks.

WHO director general Tedros Adhanom Ghebreyesus said a number of Tanzanians travelling to neighbouring countries and beyond have tested positive for the coronavirus.

KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 22 FEBRUARY, 2021!


DUWA ZA WAZANZIBARI PAMOJA NA WATANZANIA TUNAKUOMBEA WEWE!


 


CHAUMA NA NCCR MAGEUZI YAMCHAMBUA AL-MARHUM MAALIM SEIF SHARIF HA...


MAALIM SEIF AKIWATAJA WARITHI WAKE!


 


BASI YAFUTENI MACHOZI MSILIE TENA!


MAALIM SEIF AKIMLIWAZA KILA MTU - MKUBWA NA MDOGO!


MAALIM - REST IN PEACE!


 


It's time for Africa to rein in Tanzania's anti-vaxxer president!

  • John Magufuli’s cavalier disregard of Covid’s impact in the great lakes region is fuelling conspiracies and endangering lives!
  • ‘John Magufuli needs to be challenged openly and directly.’


What is wrong with President John Magufuli? Many people in and outside Tanzania are asking this question.

Magufuli claimed last year that God had eliminated Covid in the east African country of 60 million people, and has since made dismissing Covid vaccines his central priority – leaving many people asking: why?

In politics, there are generally two ways of making decisions. The first is evidence-based, weighing the pros and cons and choosing the best option; the greatest good for the greatest number.
 
The other is a populist approach, hell-bent against facts, science and logic. In a global pandemic where more than 2 million people have died, that is catastrophic.

The Tanzanian president seems to be taking populism to a whole new level.

ZBC yarusha mjadala wa maisha ya Maalim Seif!


99 NAMES OF ALLAH!


 


Tamko la TLS Juu ya Kuwepo kwa Wimbi la Pili la Ugonjwa wa Korona Nchini!



PBZ BANK VISA CARD MAKES YOUR LIFE EASY!


Vienna Convention on the Law of Treaties, 1155 U.N.T.S. 331, 8 I.L.M. 679, entered into force Jan. 27, 1980!


MAALIM SEIF - "KILA MTU KWA SIKU YAKE NA SAA YAKE"


 


"UMOJA, UMOJA, UMOJA" - ASEMA MAALIM SEIF!


 


NASHEED:MAALIM SEIF DAIMA UTAISHI KATIKA NYOYO ZETU!


NGOME YA WANAWAKE ACT WAZALENDO WAMSOMEA DUA ALIEKUWA MWENEYEKITI...!


MAMA YETU AWENA AWAKARIBISHA WOTE NYUMBANI MBWENI!


TODAY WE HAVE THE OPPORTUNITY TO PROVE OURSELVES RIGHT OR WRONG!


 


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 22.02.2021!


HEROES COME AND GO, BUT LEGENDS ARE FOREVER!


 


Sunday, February 21, 2021

US plane scatters engine debris over Denver homes 🔴 @BBC News live - BBC!

 

UMOJA, UMOJA, UMOJA!!!!


WHO's Tedros says he still has no details from Tanzania on its COVID response!

NAIROBI (Reuters) - The World Health Organization’s director-general, Tedros Adhanom Ghebreyesus, said on Sunday the organization has yet to receive any information from Tanzania on what measures it is taking to respond to the coronavirus pandemic.

“This situation remains very concerning. I renew my call for Tanzania to start reporting COVID-19 cases and share data,” Tedros said in a statement on WHO’s website.

Tedros said that in late January he had joined Matshidiso Moeti, WHO’s Africa head, in urging Tanzania to scale public health measures against COVID-19 and prepare to distribute vaccines. “I also encouraged the sharing of data in light of reports of COVID-19 cases among travellers,” he said.

BURIANI MAALIM SEIF: Wanangu Kwaherini!


NENDA SALAMA YA HABIBU KULUBINA!


 


WAZANZIBARI BADO TUNALIA!


MAALIM SEIF : EPUKA NA CORONA!


BURIANI MAALIM SEIF: Pumzika Kiongozi (Shairi)!


TABAKA LA DHAHABU!


BURIANI MAALIM SEIF: Pumzika Kiongozi (Shairi)!


JE!! UNAYAFAMU MAISHA YA AL-MARUHUMU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD!


NOW WE APPRECIATE WHAT MAALIM SEIF WAS SAYING!


HOW WE CATCH THE CORONAVIRUS!


 


PBZ BANK YACHANWACHANWA BARAZANI!


 


OMAN DAIL OBSERVER NEWS: 21.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 21 FEBRUARY, 2021!


TUNAOMBOLEZA!

  




DUA!


 


Saturday, February 20, 2021

TAARIFA YA HABARI ZBC _ (JUMAMOSI _ 20/ 02 / 2021)!


Taarifa ya Habari, Saa Mbili Kamili Usiku, Februari 20, 2021!


Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad: Fatma Karume, T. Lissu,...


🔴#LIVE: DKT MWINYI AKIONGOZA DUA KUBWA MAALUM YA KUMUOMBEA HAYATI MAALIM...!


CORONAVIRUS: THIS GUY HAS COMPLETELY MISSED THE MAIN POINT!

 
FOR THE FULL VIDEO CLICK HERE BELOW👇

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF HAMAD NYALI MTAMBWE PEMBA!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa familia ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwao kuifariji familia kabla ya kufanyika kwa mazishi katika Kijiji cha Nyali Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto kwa Rais) wakati alipofika nyumbani kwa marehemu kutowa mkono wa pole kwa familia, kabla ya kuaza kwa mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad yaliofanyika Kijijini kwao Nyali Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba) CDR.Mohammed Mussa Seif na Katibu wa Rais Dkt. Abdalla Hasnu Makame
WANANCHI wa Pemba wakihudhuria maziko ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad yaliofanyika Kijijini kwao Nyali Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba
Maofisa wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa katika viwanja vya eneo la kaburi kwa ajili ya mazishi hayo yaliofanyika Kijijini kwao Nyali Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba.

ZITTIO'S MOVING EULOGY ON MAALIM SEIF!


 


BURIANI MAALIM SEIF: Jussa azungumzia alama anayoiwacha kwa Wazanzibari!


ZANZIBARIS COMMISERATING THE PASSING AWAY OF A GREAT LEADER!


JE, UNAPICHA YA UKUMBUSHO YA WEWE NA KIPENZI CHETU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD?

 KAMA UNAPICHA YA UKUMBUSHO YA WEWE NA KIPENZI CHETU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, TAFADHALI ILETE KWA  EMAIL YA:

<znzkwetu@yahoo.com

AU KWA WHATSAPP KUPITIA NAMBA:

1.647.572.7857 

NA ITAWEKWA KWENYE PAGE HII HAPA:

https://zanzibarnikwetu.blogspot.com/p/ukumbusho-wa-wewe-na-maalim-seif-sharif_86.html



MAALIM SEIF: JABALI la SIASA ALIYETEMWA CCM, Akafungwa MIAKA 3, AMEPIGAN...!


HITMA YA KUMUOMBEA "MAALIM SEIF" SHARIF HAMADI KISIWANI PEMBA MUD...!


TUNDU LISSU ANAONGEA KWA UCHUNGU AKIWA UBELGIJI BAADA YA KIFO CHA ...!


DKT MAGUFULI AFICHUA ALICHO AMBIWA NA MAALIM SEIF KABLA YA KIFO KUHUSU ZANZIBAR!


YALELI KIPENZI!


 


OMAN DAILY OBSERVER NEWS: 20.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 20 FEBRUARY, 2021!


TUNAOMBOLEZA!

 




EARLY MORNING RECITATION!


 

EARLY MORNING RECITATION!

Friday, February 19, 2021

Matangazo ya Dira ya Dunia TV!


Taarifa ya Habari, Saa Tano Kamili Usiku, Februari 19, 2021!


#VOA​​ DUNIANI LEO FEB 19, 2021!


ONA DKT MWINYI ALIVYO JAWA NA SIMANZI WAKATI MWILI WA MAALIM SEIF UKIWAS...!


PEMBA : VILIO VYATAWALA MAZISHI YA "MAALIM SEIF"!


PEMBA : VILIO VYATAWALA MAZISHI YA "MAALIM SEIF"


HALI ILIVYO PEMBA SASA ATAKAPO SWALIWA "MAALIM SEIF" NA KUZIKWA LEO!


SHUHUDIA UMATI UKIMUOMBEA DUA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD - ZANZIBAR!


YALIYO JIRI KWENYE MSAFARA, WAKATI MWILI WA MAALIM SEIF UKIWASILI ZANZIBAR!


TAZAMA WATU WALIVYO ZIMIA NA KUANGUKA WAKIMLILIA "MAALIM SEIF SHARIF!


KAULI ZA MAALIM SEIF’ ZILIZO GUSA WATU ZNZ -KABLA YA “KIFO CHAKE”!


TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) YAJAJUU KUHUSU CORONA NCHINI!


OMAN DAIL OBSERVER NEWS: 19.02.2021!


KUTOKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO TAREHE 19 JANUARY, 2021!


TUNAOMBOLEZA!



Thursday, February 18, 2021

TUKIOMBOLEZA!


🔴#LIVE​​​​​​​​​​: MAZISHI YA MAALIM SEIF, MWILI WAKE UNASWALIWA MUDA HUU...!


Wednesday, February 17, 2021

JUMUIYA YA WAZANZIBARI YA CANADA YATOA MKONO WA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR!


 


MAALIM SEIF HATUNAE TENA. INNA LILLAHI WA INNA ILLAHI RAJIUN!


DUH ! USIKU - USIKU WAZIRI TAMISEMI, AIBUKA NA MADUDU MENGINE YA MILIONI...!


UAE: Man caught on police CCTV as he murders boss for not paying workers' salary!

  • he accused said the workers harassed him as he was responsible for bringing them to the UAE.
An Asian man allegedly murdered his boss outside a cafeteria in Ajman, after the latter refused to pay the salary of nine workers in his company, a court heard.

The murder was recorded in the police CCTV camera at the crime scene, according to the court records. The 35-year-old defendant is charged with premeditated murder by the public prosecution.

Trump-friendly social network Parler announces re-launch!

  • The social network site which boasts of having 20 million users was forced offline following the January 6 attack on the US Capitol.
The right-wing friendly social network Parler, which was forced offline following the January 6 attack on the US Capitol by supporters of then-President Donald Trump, said it is re-launching.

The Twitter alternative has been struggling to return online since Amazon stripped it of web-hosting service on January 11 over its unwillingness to remove posts inciting violence. Google and Apple removed Parler’s app from their online stores for the same reason.

MAGOMENI KOTA KUMENOGA, MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI "WATAHAMIA MWEZI WA 4, ...!


WAFANYA BIASHARA WAJA JUU NA KUTOA "POVU KUSIKIA KUHAMISHWA SOKO JUMBI "...!


Samsung introduces Vital Blood Pressure and Electrocardiogram Tracking in UAE!

  • Galaxy smartwatches are able to measure blood pressure via the Samsung Health Monitor app, which provides users with deeper insight into health.
The Samsung Health Monitor app is automatically installed when users update their Galaxy smartwatch to the latest version via the Galaxy Wearable app

Samsung Gulf Electronics has announced that the Samsung Health Monitor app, which helps consumers monitor their health and encourages users to meet wellness objectives, is now available in the UAE.

JILINDE NA MUZIKI!


 


US 'outraged' after deadly rocket attack on Iraq military base!

  • The attack killed a civilian contractor and wounded five other people, including a US service member.
A rocket attack at a US-led military base in Kurdish northern Iraq on Monday killed a civilian contractor and wounded five other people, including a US service member, the US coalition in Iraq said.

It was the deadliest attack to hit US-led forces in almost a year in Iraq, where tensions have escalated between US forces, their Iraqi and Kurdish allies on one side and Iran-aligned militias on the other.

TUJIKUMBUSHE: TOTAL ECONOMIC CONTROL OF THE WORLD IS THE AIM!


 


WHO alerts 6 African countries after Ebola outbreaks!

  • Health authorities have rushed to prevent a repeat of the last outbreak in West Africa.
The World Health Organization has asked six African countries to be alert for possible Ebola infections, as Guinea on Tuesday reported new cases and Democratic Republic of Congo said its new infections were a resurgence of a previous outbreak.

Guinea declared an outbreak of the virus on Sunday in the first return of the disease there since the 2013-2016 outbreak, while Congo has confirmed four new cases this month.

WAKATI MWENGINE WANYAMA HUWA NA HURUMA ZAIDI YA BINAADAMU!


 


Pakistan meets conditions to get next $500 million from IMF!

  • 'This is a good development for Pakistan,' Finance Minister tweeted.
The International Monetary Fund (IMF) and Pakistan on Tuesday reached a staff-level agreement that Pakistan had completed reforms required for the release of around $500 million in IMF funds that had been suspended for about a year.

"The package strikes an appropriate balance between supporting the economy, ensuring debt sustainability and advancing structural reform," the Fund said in a statement issued by both sides.

WAFANYA BIASHARA WAJA JUU NA KUTOA "POVU KUSIKIA KUHAMISHWA SOKO JUMBI "...!


Blackberry set for comeback with 5G smartphone!

  • New devices to have classic physical keyboard.
Texas-based start-up OnwardMobility, Blackberry's new owner, has confirmed that it will launch new devices later this year.

BlackBerry's partnership with TCL ended last year, and after a few months, it signed with OnwardMobility.

Peter Franklin, CEO of OnwardMobility, reiterated recently that the company will release a 5G phone this year, reports GizChina.

MAKABURI YA KINONDONI: MAITI ZA MASKINI HUFUKULIWA NA KUZIKWA ZA MATAJIR...!


Biden plans to 'recalibrate' Saudi relations, will call Netanyahu soon!

  • 'US will help Saudi Arabia with self-defence needs'.
US President Joe Biden plans to recalibrate US relations with Saudi Arabia and will communicate through The Custodian of the Two Holy Mosques King Salman bin Abdulaziz of Saudi Arabia, White House spokeswoman Jen Psaki said on Tuesday.

Psaki told reporters Biden plans a call soon with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu. Some critics have accused Biden of snubbing Netanyahu for having not yet spoken to the leader of the top US ally in the Middle East nearly a month after taking office.