Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Monday, May 31, 2021
KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA SADC LAFANYIKA ZANZIBAR!
| Mhe. Abdullah akihutubia Kongamano |
| Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 40 ya SADC |
Sunday, May 30, 2021
UFISADI MKUBWA WANASWA ANGOLA!
Saturday, May 29, 2021
TALIBANS COMING UP AGAIN AS THE WAR IS ABOUT TO END!
Then, just as U.S. troops began leaving the country in early May, Taliban fighters besieged seven rural Afghan military outposts across the wheat fields and onion patches of the province, in eastern Afghanistan.
The insurgents enlisted village elders to visit the outposts bearing a message: Surrender or die.
By mid-month, security forces had surrendered all seven outposts after extended negotiations, according to village elders. At least 120 soldiers and police were given safe passage to the government-held provincial center in return for handing over weapons and equipment.
Friday, May 28, 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu (African court on Human and peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei, 2021
Thursday, May 27, 2021
Wednesday, May 26, 2021
Tuesday, May 25, 2021
Monday, May 24, 2021
Sunday, May 23, 2021
THE SIGNIFICANCE OF FASTING FOR 6 DAYS IN THE MONTH OF SHAWWAL | BY DR Z...
Saturday, May 22, 2021
Friday, May 21, 2021
Thursday, May 20, 2021
Wednesday, May 19, 2021
Tuesday, May 18, 2021
The world has entered 'vaccine apartheid!
- The world is no longer just at risk of "vaccine apartheid" - according to the WHO, we've reached it.
- Vaccine rollout is well underway in wealthy countries, while poorer nations have little to no supply.
- Scientists are calling for vaccine manufacturers and wealthy nations to share their shots.
While wealthier countries like the US have stockpiles of vaccines, some poorer nations have yet to secure any doses.
Nearly a dozen countries, including Chad, Burkina Faso, Burundi, Eritrea, and Tanzania, haven't received any vaccines at all, the Associated Press reported last week.
Monday, May 17, 2021
MSIMAMO MPYA WA TANZANIA KUHUSU MARADHI YA COVID-19!
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU YATOKANAYO NA RIPOTI YA KAMATI MAALUMU YA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA KUFANYA TATHMINI YA UGONJWA WA COVID-19 NCHINI
DAR ES SALAAM 17 MEI, 2021
Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba kupitia hotuba ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyoitoa tarehe 6 Aprili, 2021 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu kuunda Kamati ya kitaalamu ya kufanya tathimini ya ugonjwa wa COVID-19 na baadaye msisitizo alioutoa tarehe 22 Aprili, 2021 wakati akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, naomba kuwajulisha kuwa Kamati hiyo imewasilisha rasmi ripoti yake kwa Mheshimiwa Rais leo tarehe 17 Mei, 2021.
Ndugu Wanahabari, Kamati ilifanyia kazi hadidu za rejea 12 zilizohusu maeneo mbalimbali ya tathmini ya mwenendo wa ugonjwa pamoja na afua za udhibiti wa COVID-19 ikiwemo chanjo hapa nchini, kikanda na kimataifa.
Ndugu Wanahabari, Tangu kuingia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini mwezi Machi 2020, Tanzania imekumbwa na mawimbi mawili makubwa na hivi sasa kutokana na mwenendo wa ugonjwa huo katika mataifa mengine duniani na kuna tishio la kutokea kwa wimbi la tatu hapa nchini.
Ndugu Wanahabari, Baada ya uchambuzi wa kina Kamati imependekeza yafuatayo:
1. Serikali ihuishe mipango ya dharura (Contigency and Response Plans) katika ngazi zote kwa ajili ya kukabiliana na majanga likiwemo janga la ugonjwa wa COVID-19.
2. Serikali itoe taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa COVID-19 na ichukue hatua madhubuti kuimarisha hatua zote za afua za kinga (interventions) katika ngazi zote ili kuepusha wimbi la tatu la ugonjwa huo.








