dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 21, 2021

RAIS SAMIA AWASILI UWANJA WA NDEGE WA JF KENEDY NEW YORK KUHUDHURIA MKUTANO WA UN!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kenedi Jijini New York Marekani leo Sept 19,2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept 2021.
Viongozi wa DICOTA wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula
Wapili toka kushoto ni Mange Kimambi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ZADIA


No comments :

Post a Comment