dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, December 15, 2021

RAIS SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA (TANZANIA BARA)!

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuwapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, katika Maadhimisho yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Heshima ya Wimbo wa Taifa kwenye Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
         
Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ vikipita Kikakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.
   
Vijana wa halaiki wakionyseaha ukakamavu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Desemba, 2021.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akihutubia wakati wa Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Wakifatilia Maadhimisho ya kutimia miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyofanyika leo tarehe 09 Desemba 2021 katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment