Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Thursday, August 10, 2023
DAWA YA KICHWA!
Naomba niwasilishe kwenu dawa mujarabu kwa maumivu ya kichwa .
Mimi nimetumia na kunipa matokeo mazuri sana.....Alhamdulillah....
UNACHUKUA NDIMU UNAKAMUA NA KUWEKA NDANI YA CHAI YA RANGI ILIO NA UMOTO WA KUTOSHA. UNAKUNYWA IKIWA YA MOTO..
WASTANI WA NDIMU MOJA KWA KIKOMBE KIMOJA CHA CHAI.
AU
KATA NDIMU KAMUA THAN MAGANDA YAKE KATA VIPANDE NDOGONDOGO NA UCHEMSHIE PAMOJA NA CHAI YA RANGI.
KUNYWA.
UKINYWA MARA MOJA TU UNAPATA MATOKEO MAZURI...
SAMBAZA NA KWA WENGINE DAWA HII NZURI SANA YA KICHWA NA ISIO NA GHARAMA, WALA CHEMICAL
WAFAIDIKE NA WENGINE NA IWE NI SADAKA KWAKO....
USIFUTE KABLA NA WEWE KUTIBU WENGINE.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment