Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Kuna ndugu yetu huyo hapo kwenye picha mnayoiyona Anaitwa Fatu Said Amour
Kapotea tangu jana saa saba mchana alikwenda mazikoni Gamba hakuonekana mpaka sasa hivi kwa yeyote atakayemuona au kujuwa habari zake atowe taarifa kituwo chs polisi au apige simu namba:
O777.151.711
0777.418.377
0710.019.745
0776.085.209
0782.649.130
0688.137.778
Him?
ReplyDelete