Akifungisha Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi
ya Kusini Njombe Isaya Mengele Amekumbusha Maneno ya ungu na
Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa
Kwenye Vitabu Vya Dini.
Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba
akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa
na Katibu mkuu wa CCM.
Kushoto ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula
Dr.Lechion Kimilike ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu
huria cha Tanzania Tawi la Njombe[NJOMBE OPEN UNIVERSITY].
Waziri mkuu Mizengo pinda akisalimiana na Mjumbe
wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa wilaya ya
Njombe bwana Lupyana Fute[Jacky's]ambaye ni diwani
wa kata ya Njombe mjini leo wakati wa Harusi ya Mzee Philip Mangula.
Hapa ni ndani ya kanisa la KKKT Dayosisi ya kusini
Njombe Mjini ambako pingu za maisha kwa mzee wetu
Mangula zimefungwa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Katika
harusi ya mzee Mangula leo Njombe.
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip
Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege leo wakifunga pingu
za maisha. Picha na Gabriel Kilamya
Chanzo: Vijimambo
|
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Saturday, April 6, 2013
MANGULA AOPOA JIKO!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment