dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 10, 2015

BALOZI SEIF AZINDUA MASKANI YA VIJANA WALOHAMIA CCM KUTOKA CUF HUKO MITAMBUUNI, MTAMBWE!

MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Mitambuuni Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Sief Ali Iddi, akisikiliza maelezo ya mwenyekiti wa Maskani ya Vumilia Mitambuuni Mtambwe waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MJUMBE wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akitoka kukagua maskani ya Vumilia Mitambuuni Mtambwe, vijana ambao wamehama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.).
MJUMBE wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe: Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM huko Mitambuuni Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuizindua maskani ya Vumilia ya Vijana waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments :

Post a Comment