dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 10, 2015

Mgombea mwenza wa UKAWA Mhe Juma Duni Anguruma Tanga

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.
Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa jijini Tanga, mgombea huyo yupo katika mikutano ya kampeni mkoani Tanga.
Baadhi ya wafuasi wa Ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kuusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njia kuelekea wilayani Muheza.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema kihutubia Muheza.
Mgombea Mwenza Juma Duni Haji akihutubia wakati wa jimbo la Muheza.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Pangani, Amina Mwidau.
Mgombea Mwenza akimkabidhi kadi ya CUF, Siwajibu Rajabu aliyejiunga na chama hicho wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Pangani Tanga.
Mfuasi wa Ukawa akiwa na bango.
Wafuasi wa Ukawa Mkinga.
Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkinga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiagana na wafuasi wa Ukawa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.Picha na Francis Dande

No comments :

Post a Comment