dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 27, 2016

Ndugu wa Mzanzibari aliyefariki Afrika Kusini wanatafutwa!


Watanzania waishio Johannesburg wanawatafuta ndugu, rafiki au jamaa wa Shiraz Abeid Juma (pichani), ambaye sasa ni marehemu.

Shiraz alifariki wiki hii na kuzikwa siku ya Jumanne 20/12/2016 huko Johannesburg, Afrika Kusini.

Marehemu alifika Afrika Kusini akitokea eneo la Mpendae kule Zanzibar kama nyaraka alizoacha zinavyoonyesha.

Namba za simu zilizokuwa kwenye vitabu vya marehemu hazipatikani.

Kwa yoyote mwenye kumfahamu marehemu, tafadhali wasiliana na Abdallah Hussein +27 71 216 8505.

No comments :

Post a Comment