dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 26, 2016

Rais Magufuli atoa madawati 850 Chato Mkoani Geita!

Wananchi wa Kata ya Buselesele katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kutoa madawati 850 ndani ya Wilaya hiyo hili kupunguza changamoto ya watoto kukaa chini.

Channel Ten imeshuhudia magari mawili makubwa yakishusha madawati hayo kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Buselesele yakitokea Mkoani Arusha yalikokuwa yakitengenezwa.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Mwalimu Eliasi Mataba amesema madawati hayo yatagawiwa kwenye mashule kulingana na mahitaji.

No comments :

Post a Comment