Rais Dr Shain Akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein leo ameanza ziara yake ya siku tatu katika mkoa wa Mjini Magharibi.
Ziara hii ni ya kwanza kwa Rais Shein tangu achaguliwe katika uchaguzi wa marudio mwaka jana, Na ni ya tatu tangu aingie madarakani mwaka 2010.
No comments :
Post a Comment