dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, August 8, 2017

Umeme wafika kisiwa cha Fundo, Pemba!




Mwananchi wa Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba, akielezea furaha yake kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali juu ya furaha yake kwa kufika Umeme Kisiwani humo.
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme (ZECO) Pemba, wakiwa na baadhi ya Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakiwa na furaha ya kupokea Waya wa Umeme kwa ajili ya kusambazwa katika Kisiwa chao.
Meli ya Mv Jitihada ikiwa na Waya wa Umeme unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba.
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Pemba, wakiwa katika meli ya Jitihada ambamo umo Waya unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo kwa njia ya maji.
Waya wa Umeme unaotarajiwa kusambazwa katika Kisiwa cha Fundo ,kupitia baharini ukiwa katika meli ya MV Jitihada.
Tagi ya Shirika la Bandari Zanzibar, ambayo inaiongoza Meli ya MV Jitihada, ikiwa iko Bandari ya Fundo.



Sheha wa Shehia ya Fundo ,Khamis Abeid, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya furaha yake kwa kufika Umeme ndani ya Kisiwa hicho.


PICHA NA SAID ABRAHAMAN-PEMBA.

No comments :

Post a Comment