dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 6, 2017

Kiongozi wa upinzani kupelekwa mahakamani kesho!


Mkosoaji Mkuu wa serikali ya Rwanda, Diane Rwigara, kesho anatarajiwa kufikishwa Mahakamani akishtakiwa kwa makosa ya kuchochea uasi na udanganyifu.

Bi. Diane mwenye umri wa miaka 35. Alizuiwa kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu, kwa madai kwamba hakutimiza masharti ya kugombea nafasi hiyo na pia kughushi baadhi ya saini za wadhamini wake.

Kaka yake anayeishi uhamishoni nchini Marekani ameishutumu serikali ya Rwanda kwa kuihukumu familia yao baada ya Diane kujaribu kumpinga Rais Kagame.

No comments :

Post a Comment