dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 7, 2017

Mtoto afanywa Mungu Nepal!

Wabudha na wahindu wameshirikiana kumfanya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu ,Trishna Shakya mungu wao huko Nepal.

Waumnini hao wameamua kumheshimu na kumuabudu mtoto huyo kuanzia sasa.

Kwa mujibu wa habari,mtoto huyo amebebwa na waumini hao na kupelekwa  katika moja ya hekalu katika mji mkuu wa Nepal.

Mtoto huyo wa kike ataishi ndani ya hekalu hiyo mpaka atakapokuwa mtu mzima.

No comments :

Post a Comment