dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 29, 2017

Ridhiwani Kikwete afunguka haya baada ya Samia Suluhu kwenda kumuona Tundu Lissu!

Mbunge wa Chalinze kupitia CCM ambaye pia ni mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ameonehsa kuguswa na kutoa yake ya moyoni baada ya Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwenda kumuona Tundu Lissu hospitali.

Kwenye ukurasa wake wa instagram Ridhiwani Kikwete ameandika ujumbe akisema kuwa Mama Samia ameonesha kuguswa kama mzazi kwa kitendo alichokifanya cha kwenda kumuona mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu."Sura yake Makamu wa Rais Mama Samiah Hassan inaonyesha kuguswa kama Mzazi. Wewe ni mzazi na Mungu aibariki Tanzania", ameandika Ridhiwani.

Hapo jana Makamu wa Rais mama Samia Suluhu alikwenda hospitali hapo kumuona Tundu Lissu ambaye amelzwa tangu Septemba 7 mwaka huu, baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya.



No comments :

Post a Comment