dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, December 6, 2017

Marekani yaambiwa inatenda kosa la kihistoria!

Kiongozi wa chama cha upinzani cha MHP Uturuki Devlet Bahceli amesema kuwa kitendo cha Marekani kutaka kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ni kosa la kihistoria.

Kwa mujibu wa habari,bwana Bahceli amesema kuwa uamuzi huo wa Marekani utaleta kizaazaa Mashariki ya kati.

"Hio ni mbinu ya kuvuruga vitu vyote tunavyoamini kuwa ni vitakatifu",amesema kiongozi  huyo.

Vilevile amesema kuwa hatua hiyo sio tu itavuruga ulimwengu wa kiislamu bali itakua na athari kubwa zaidi.

Bahceli ameyataka mataifa ya kiislamu yaandamane kupinga suala hilo.

No comments :

Post a Comment