dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, March 16, 2018

Ufunguzi wa Ijtimai ya kimataifa Ole Kianga kisiwani Pemba!



WAUMINI wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakisali swala ya Ijumaa kabla ya kufunguliwa kwa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kiyanga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

USTADHI Mohamed Salim akisoma Quran tukufu, kabla ya kufunguliwa kwa Ijitimai ya Kimataifa, inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
USTADHI Othman Maalim akiwa na Amiri wa Fisabili-llahi Markaz Ali Khamis Mwinyi, wakisikiliza kwa makini Quran Tukufu iliyokuwa ikisomwa kabla ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kitaifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
Amiri Kombo Hamada akitoa Tafsir ya Qur-an, kabla ya kufunguliwa kwa ijitimai ya Kiataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
KATIBU Mkuu wa Fisabili-llah- Markaz Hafidh Jabu, akiwakaribisha wageni waalikwa katika ijitimai ya Kitaifa iliyofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
AMIRI wa Fisabili-llahi- Markaz Zanzibar, Ali Khamis Mwinyi, akitoa taarifa fupi ya taasisi hiyo, wakati wa ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakifuiatilia kwa makini ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa, inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MUHADHIRI wa dini ya Kiislamu Zanzibar Sheikh Othman Maalim, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakati wa ufunguzi wa ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

MUHADHIRI wa dini ya Kiislamu Zanzibar Sheikh Othman Maalim, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu kutoka nchi mbali mbali barani Africa, wakati wa ufunguzi wa ijitimai ya Kimataifa inayofanyika Ole Kianga Kisiwani Pemba.


(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

No comments :

Post a Comment