dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, April 4, 2018

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI!

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji , Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Eneo la ufukwe wa Mpigaduri,Maruhubi linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira, Salama Aboud Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Siara Ubwa Mamboya (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji , Mustafa Aboud Jumbe (Kushoto) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum ya kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipofika Eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum alipotembelea Eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Mji Mpya wa kisasa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati walipofika eneo hilo.

(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment