dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, June 22, 2018

RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME MPYA YA UCHAGUZI ZANZIBAR!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Bw.Mabrouk Jabu Makame kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Bw.Feteh Saad Mgeni kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Bw.Makame Juma Pandu kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Dk.Kombo Khamis Hassan kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha Bibi Jokha Khamis Makame kuwa Mjumbe wa Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi,Wajumbe wa Tume mpya ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume mpya ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe, Said Hassan Said akisalimiana na Wajumbe wa Tume mpya ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kabla ya kuapishwa leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment