dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 26, 2018

Rais Dk Shein arejea nchini akitokea Uingereza!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud (kushoto) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza kwa safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudh wakati wa mapokezi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Viongozi mbali mbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Nchini Uingereza akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa mbali mbali katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono Wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Maafisa Mvali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari maalum,[Picha na Ikulu.] 26/07/2018.

No comments :

Post a Comment