airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 6, 2018

JAMANI, ERITREA INA UCHUMI GANI ZAIDI YA ZANZIBAR HATA TUNASHINDWA NASI KUWA NA 'ZANZIBAR AIRLINES'?



1 comment :

  1. Ukilinganisha Zanzibar na Eritrea,of course Eritrea wanauchumi mkubwa, lakini sio kuwa na uchumi mkubwa ndiko kunako-matter. What matters ni kama mnavichwa vizuri.
    Hio ndege mlioiweka hapo juu is the only plane ambayo Eritrea wanayo na hiyo pia ni leased plane. Inapeperusha bendera yao na kuitangaza nchi yao bila ya mtu kujua kama hio ndio hio hio ndege pekee.
    Zanzibar isingelishindwa kukodi ndege moja au mbili za kuanzia na tukaitangaza nchi yetu. Waingereza wanasema...."Much can be done with limited resources, but with unlimited imaginations". Hizo imaginations na innovations za kibiashara sisi Wazanzibari ndio hatunazo kabisa. Biashara zetu zinaishia Darajani tu. Zaidi, sisi yetu ni kubwabwaja na itachukuwa 100 years kabla hatujaiona hio ZANZIBAR AIRLINES, labda ghafla Bakhresa atuvute kwenye ubia.

    ReplyDelete