dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 1, 2018

Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia!


Ofisa wa Kampuni ya Brunswick Resousles LTD, Deosdedit Hugho,akitowa ufafanuzi wa zoezi la utafiti wa mafuta na fesi asilia lilivyokwenda na linavyoendelea katika maeneo mengine sambamba na kuwashukuru Waandishi wa habari kwa ushirikiano wao.


Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Nyumba , Maji na Nishati Pemba, Juma Bakar Alawi, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia lianvyoendelea katika Kisiwa cha Pemba.

Ofisa mdhamini wizara ya Habari , Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, akitowa ufafanuzi kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusiana na kuandika habari kuhusiana na mafuta na Gesi asilia katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Nyaraka Pemba.
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments :

Post a Comment