dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 17, 2019

MSAFIRI: TAHADHARI, TAHADHARI NA TAHADHARI!

Usikubali kumshikia mtu yeyote kinywaji chochote wala vitafunio vyovyote,  kwenye vituo vya kusafiria,  kwa ndege, meli, treni, hata basi. 

Angalia video hiyo hapa chini uone kwa macho yako mbinu zinazotumiwa na wasafirishaji na watumizi wa madawa ya kulevya. 


Ukikamatwa na kimoja wapo basi mwenye hatia ni wewe: 

"AKAMATWAE NA NGOZI NDIYE MWIZI WA MBUZI"!



No comments :

Post a Comment