dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, July 13, 2019

KURA YA MAONI!


FUNGUA BAADAE PIGA KURA YAKO!

https://strawpoll.com/rwkaer9x 


UNAKARIBISHWA KUPIGIA KURA CHAMA AMBACHO UNAPENDA KIONGOZE NCHI YETU TUKUFU KATIKA UCHAGUZI UJAO WA 2020.

CHA KUFANYA BOFYA LINK HIYO HAPO JUU 👆🏾 itakupeleka moja kwa moja katika sehemu ya kupiga kura.

#wote mnakaribishwa.
N.B. PIGA KURA MARA MOJA TUU NA UKIPIGIE KILE CHAMA UKIPENDACHO.
HAMNA KUTIA GOLI LA MKONO!

1 comment :

  1. Kuonesha results baada ya kupiga kura ni sawa na goli la mkono. Kama tunataka kupata sura sahihi basi kura inaachwa for 7 days watu wapige and after 7 days ndio zinatoka results. Kwa hivi ilivyosasa ni kuwa watu wanaambizana kabla hawajapiga kura na kwahivyo hizi results hazina maana yoyote.

    ReplyDelete