dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, July 30, 2020

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MAREHEMU BENJAMIN WILLIAM MKAPA AMBAYE ATAZIKWA KESHO LUPASO MASASI MKOANI MTWARA!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara mkoani Mtwara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambayo yatafanyika hapo kesho kijijini kwao Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

No comments :

Post a Comment