dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 20, 2020

IN PICTURES: RAIS MAGUFULI AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU MWINYI,AKAGUA NYUMBA YA RAIS MSTAAFU KIKWETE NA AMJULIA HALI MAMA ANNA MKAPA!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika nyumba ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakikata utepe wakiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar
es salaam Jumapili 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akishukuru baada ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi mfano wa funguo Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba hiyo ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Abubakar Kunenge na Vijana wajenzi wa JKT wakati wa hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba Mzee Mwinyi ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam  Jumapili 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam  Jumapili 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili 
  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam  Jumapili 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikikliza Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

No comments :

Post a Comment