dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, March 30, 2021

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ - ALLAHUMMA AMEEN

 


SOMA DUA HIZI KILA WAKATI NA IKISHA ITIKIA  ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.

 ALLAHUMMA AMEEN!


 Ewe الله, usiichukue 

roho yangu hadi pale

utakapo kuwa na furaha

nami.

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


 Ewe الله, nijaalie kifo

cha "Shaheed".

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, nijaalie kifo

ilhali nimo katika

"Sujuud"

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, nijaalie kauli yangu ya mwisho iwe

"Shahadah".

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, nijaalie

kama nitakufa usingizini

mapigo ya moyo wangu

yawe ni "Dhikr".

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, kiongozi wa roho zilizopotea,

Usamehe Umma wa Kiislam.

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, Wasamehe

wazazi wangu, ndugu na jamaa zangu na marafiki zangu wa kiislam.

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, Tuepushe na adhabu ya moto, na utujaalie pepo.

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ.


Ewe الله, jaalia kila

nililo liomba uyagawe

sawa kwa wazazi wangu wote, Yaa Allah.

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ

ﺃﻟﻠﻬﻢ ﺁﻣﻴﻦ - ALLAHUMMA AMEEN

No comments :

Post a Comment