dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, June 17, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UJERUMANI REGINE HESS IKULU ZANZIBAR!


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 16/6/2021, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regine Hess, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Picha ya pamoja. (Picha na Ikulu ya Zanzibar)
 

No comments :

Post a Comment