dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 3, 2024

ZANZIBAR CHARITY IN UNITED KINGDOM!

 Zanzibar Charity

 UK register Charity 1197011

              September 2024

Sadaka ya Juzuu

Kusaidia Tution Programme

Kwa kusaidia Programm ya kunyanyua Ufaulu, wanafunzi  kwenye masomo yote eg; Dini, Kiarabu, Science, Math etc ndani ya Wanafunzi hawa wapo watoto wengi wenye hali ngumu, vile vile na mayatima Tunauza Juzuu ili tupate fund ya kusaidia kuendesha Programme

Juzuu tutazitoa Sadaka kwenye Madrasa ~ Kwa kununua Juzuu hizi utakuwa umetoa Sadaka mara Mbili kumsomesha Mtoto Quran kupitia Juzuu yako na umesaidia Nyanyua Ufaulu Programme

Tunauza Juzuu 600 = £1500

Bei ya Juzuu

Juzuu 2 kwa  £5 

Juzuu 4 kwa £10

Juzuu 8 kwa £20

Juzuu 20 kwa £50

{Quran 55:60}

هَلۡ جَزَآءُ ٱلۡإِحۡسَٰنِ إِلَّا ٱلۡإِحۡسَٰنُ


Changia Kupitia:

Name: Zanzibar Charity 

Bank: NatWest Bank

Account: 28829786

Sort Code: 50~10~29

Reference: Elimu


Nyumbani Tanzania changia kupitia:

Tigo Pesa: +255713612441

Jina: Ariff Mohamed


Shukran Jazak Allah Kheir kwa ushirikiano wetu Mwema.


No comments :

Post a Comment