Mwaliko Kwa Wahariri Katika Mkutano Na Hamad Rashid - Maelezo - 21.09.2012
MBUNGE WA JIMBO LA WAWI HAMAD RASHID MOHAMED
MBUNGE WA JIMBO LA WAWI HAMAD RASHID MOHAMED ANATARAJIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI HAPA NCHINI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA IDARA YA HABARI(MAELEZO) KUANZIA SAA 4 ASUBUHI. MH. HAMAD ATAZUNGUMZIA MAMBO MBALIMBALI.
WAPI-=MAELEZO-DAR ES SALAAM MUDA - SAA 4.00 LINI - IJUMAA - 21.09.12 WAHUSIKA - WAHARIRI KUTOKA VYOMBO VYA HABARI
No comments :
Post a Comment