Niaje kaka! Naomba uposti video ya Msanii chipukizi anayefanya mziki kwa kuikomboa jamii yake, anaitwa Dickson Mseti ni jina lake halisi na jina la usanii pia Facebook, ni kijana anayeishi Iringa.
Ahsante sana.
By Mdau wa Mjengwa blog.
|
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment